Namna ya kufungua mgogoro mingine ya kikazi

Kujaza fomu CMA F.1

Kuleta mgogoro mbele ya Tume ndani ya siku 60 baada ya mgogoro kutokea. Iwapo siku 60 zimepita maombi ya kusikilizwa nje ya muda yanaletwa mbele ya Tume kwa kujaza fomu CMA F.2, taarifa ya maombi na hati ya kiapo.