Namna ya kukabidhi na kuwasilisha fomu ya rufaa

Fomu ya rufaa iliyojazwa ni lazima ikabidhiwe kwa upande mwingine. Unaweza kufanya hivyo kwa mojawapo ya njia zifuatazo:-


Kabidhi nakala ya fomu kwa upande mwingine

Nukushi fomu kwa upande mwingine

Tuma nakala ya fomu upande mwingine kwa njia ya rejesta ya posta.