MAONESHO YA SABASABA 2024

28 Jun, 2024 - 13 Jul, 2024
08:00:00 - 18:00:00
SABASABA GROUND, TEMEKE
dir@cma.go.tz

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Mheshimiwa Patrobas Katambi, ametembelea banda la Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA),katika maonesho ya 48  ya sabasaba jijini Dar es Salaam.

MAONESHO YA SABASABA 2024