Wadau wetu

Katika utendaji wa majukumu Tume ina wadau wakuu watatu ambao ni serikali, vyama vya wafanyakazi na vyama vya waajiri