Sisi ni nani

Tume ya Usuluhishi na Uamuzi ni taasisi huru ya utatuzi wa migogoro ya kikazi iliyoanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 12 cha Sheria ya Taasisi za Kazi Na 7/2004, Sura ya 300 ya sheria za Tanzania [Toleo la Marejeo la mwaka 2019].