Mkurugenzi wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA), Mhe. Usekelege Mpulla, akipata maelezo kuhusu mifumo mbalimbali inayotumiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu pamoja na taasisi zake, alipotembelea banda la Ofisi hiyo katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyofanyika katika Viwanja vya Chinangali, Jijini Dodoma, Juni 2026.