Nafunguaje mgogoro wa kuachishwa kazi isivyohalali?
Nafunguaje mgogoro wa kuachishwa kazi isivyohalali?
Kujaza fomu CMA F.1
Kuleta mgogoro mbele ya Tume ndani ya siku 30 baada ya kuachishwa kazi. Iwapo siku 30 zimepita maombi ya kusikilizwa nje ya muda yanaletwa mbele ya Tume kwa kujaza fomu CMA F.2, taarifa ya maombi na hati ya kiapo.
Habari Mpya
