KATIBU MKUU MIFUGO NA UVUVI AITAKA CMA KUWAFUATA WADAU KUWAPATIA ELIMU NANENANE
KATIBU MKUU MIFUGO NA UVUVI AITAKA CMA KUWAFUATA WADAU KUWAPATIA ELIMU NANENANE
Imewekwa: 07 Aug, 2025

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi ambae pia ni Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA), Bi. Agnes Meena, ameitaka CMA kuendelea kutoa elimu kwa kuwafuata wadau wanaoshiriki maonesho ya Kilimo nanenane ili kuwapatia elimu kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na Tume.
Ameyasema hayo Agosti 2, 2025 alipotembelea banda jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zake, katika Maonesho ya Kilimo nanenane yanayofanyika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma.
Kauli Mbiu ya Maonesho hayo ni;
"Chagua Viongozi Bora Kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi 2025."
Habari Mpya
